ikon Tenzi za Rohoni Pro

2.0.4 by Robert Londo


Apr 10, 2020

Tentang Tenzi za Rohoni Pro

Indonesia

Nyimbo za Tenzi za Rohoni na nyimbo za dini kwenye simu yako

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za Injili kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na Mahali Popote.

App hii ina nyimbo za dini 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini, kusoma unaweza na kusikiliza ala (audio) za nyimbo za Injili Bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani Yenu Katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa Neema mioyoni mwenu.

Wakolosai 03:16

FITUR

★ Tenzi za Rohoni 138 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.

★ Ala za tenzi Bila intaneti (Offline)

★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.

★ Dapatkan Lebih Banyak neno lolote kwenye tenzi zote

★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za Injili au nyimbo za dini uzipendazo

★ Kuongeza ukubwa wa maandishi

★ Kuchagua aina ya fonti za aya

★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za Injili kwa kufuata alfabeti

Apa yang baru dalam versi terbaru 2.0.4

Last updated on Apr 10, 2020

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Terjemahan Memuat...

Informasi APL tambahan

Versi Terbaru

Permintaan Tenzi za Rohoni Pro Update 2.0.4

Perlu Android versi

4.0.3

Tampilkan Selengkapnya

Tenzi za Rohoni Pro Tangkapan layar

Komentar Loading...
Bahasa
Cari...
Berlangganan APKPure
Jadilah yang pertama mendapatkan akses ke rilis awal, berita, dan panduan dari game dan aplikasi Android terbaik.
Tidak, terima kasih
Mendaftar
Berlangganan dengan sukses!
Anda sekarang berlangganan APKPure.
Berlangganan APKPure
Jadilah yang pertama mendapatkan akses ke rilis awal, berita, dan panduan dari game dan aplikasi Android terbaik.
Tidak, terima kasih
Mendaftar
Kesuksesan!
Anda sekarang berlangganan buletin kami.