Tenzi za Rohoni Pro ícone

2.0.4 by Robert Londo


Apr 10, 2020

Sobre este Tenzi za Rohoni Pro

Português

Nyimbo za Tenzi za Rohoni na nyimbo za Dini kwenye simu yako

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo za Dini 138 Kutoka kwenye Kitabu cha nyimbo za Dini cha Tenzi za Rohoni. Huna Haja ya kubeba Kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za Dini, kusoma unaweza na kusikiliza ala (áudio) za nyimbo za injili bila kuwa na intaneti (off-line)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani Yenu Katika Hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na Tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.

Wakolosai 03:16

Características

★ Tenzi za Rohoni 138 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za Dini.

★ Ala za Tenzi bila intaneti (off-line)

★ Pata Tenzi kwa urahisi kwa kutafuta Kutoka kwenye orodha ya Tenzi.

★ Tafuta neno lolote kwenye Tenzi zote

★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za Dini uzipendazo

★ Kuongeza ukubwa wa maandishi

★ Kuchagua aina ya Fonti za aya

★ Kupanga orodha ya Tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Novidades da Última Versão 2.0.4

Last updated on Apr 10, 2020

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Traduzindo...

Informações Adicionais do Aplicativo

Última versão

Pedido Tenzi za Rohoni Pro Atualização 2.0.4

Requer Android

4.0.3

Mostrar mais

Tenzi za Rohoni Pro Capturas de tela

Carregando Comentário...
Idiomas
Buscando...
Inscrever-se no APKPure
Seja o primeiro a ter acesso ao lançamento antecipado, notícias e guias dos melhores jogos e aplicativos para Android.
Não, obrigado
Inscrever-se
Inscreva-se com sucesso!
Agora você está inscrito no APKPure.
Inscrever-se no APKPure
Seja o primeiro a ter acesso ao lançamento antecipado, notícias e guias dos melhores jogos e aplicativos para Android.
Não, obrigado
Inscrever-se
Sucesso!
Agora você está inscrito em nossa newsletter.