Tenzi Za Rohoni-icoon

2 . 1 . 8 by Awesomecode Tanzania


Nov 20, 2023

Over Tenzi Za Rohoni

English

kitabu kinachojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 za kumuabudu na kumtukuza Mungu.

Tenzi za Rohoni ni programma inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.

Programma hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Sifa za programma ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa

neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno

yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata

kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.

• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (met dank aan hymnserve.com voor

de begeleidingen).

• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.

• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza.

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona

inafaa.

• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya

Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Wat is er nieuw in de nieuwste versie 2 . 1 . 8

Last updated on Nov 20, 2023

-Imeongeza ufanisi.

Vertaling Laden...

Aanvullende APP -informatie

Laatste Versie

Verzoek update van Tenzi Za Rohoni 2 . 1 . 8

Geüpload door

Yara Lutfi

Android vereist

Android 4.1+

Available on

Verkrijg Tenzi Za Rohoni via Google Play

Meer Info

Ook beschikbaar voor andere platforms

Tenzi Za Rohoni Screenshots

Comment Loading...
Talen
Talen
Aan het zoeken...
Abonneer u op APKPure
Wees de eerste die toegang krijgt tot de vroege release, nieuws en gidsen van de beste Android -games en apps.
Nee bedankt
Aanmelden
Succesvol ingeschreven!
Je bent nu geabonneerd op APKPure.
Abonneer u op APKPure
Wees de eerste die toegang krijgt tot de vroege release, nieuws en gidsen van de beste Android -games en apps.
Nee bedankt
Aanmelden
Succes!
Je bent nu geabonneerd op onze nieuwsbrief.