Tenzi za Rohoni icono

10.0 1 Reseñas


2.4.6 by Robert Londo


01/02/2023

Acerca del Tenzi za Rohoni

Español

Nyimbo za Tenzi za Rohoni toleo jipya lenye tenzi 161 na nyimbo za dini.

Aplicación hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

Aplicación hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.

Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (sin conexión)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.

Wakolosai 3:16

CARACTERÍSTICAS

★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.

★ Ala za tenzi bila intaneti (sin conexión)

★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.

★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote

★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo

★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya

★ Kuchagua aina ya fonti za aya

★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Novedades de Última Versión 2.4.6

Last updated on 01/02/2023

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Traductorio...

Información Adicional de Aplicación

Última Versión

Solicitar Tenzi za Rohoni Actualización 2.4.6

Presentado por

Rosa Cecibel Garcia Lucas

Requisitos

Android 4.1+

Mostrar más

Tenzi za Rohoni Capturas de pantalla

Comentario Cargando...
Idiomas
Idiomas
Buscando...
Suscríbete a APKPure
Sé el primero en obtener acceso al lanzamiento anticipado, noticias y guías de los mejores juegos y aplicaciones de Android.
No, gracias
Suscribirme
¡Suscrito con éxito!
Ahora estás suscrito a APKPure.
Suscríbete a APKPure
Sé el primero en obtener acceso al lanzamiento anticipado, noticias y guías de los mejores juegos y aplicaciones de Android.
No, gracias
Suscribirme
¡Éxito!
Ya estás suscrito a nuestro boletín electrónico.