Katekisimu Ndogo 图标

1.0 by AlberaInfoTech


2018年11月13日

关于Katekisimu Ndogo

中文(简体)

Katekisimu Ndogo Ya Kanisa katoliki

Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki,

       App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki,Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998。

        Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki,

zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:

1:SEHEMU YA KWANZA:IMANI

      - Kipengele hiki kinahusisha Kanuni ya Imani ya Kanisa Katotiki amapo pia kimegawanyika katika sehemu kuu 12 ambazo kila moja wapo ndani yake kuna maswali na

     majibu kuhusiana na kila kipendele kwenye kanuni ya imani。

1.0:NASADIKI

        1.1:KWA MUNGU BABA MWENYEZI

        1.2:MUUMBA MBINGU NA DUNIA

        1.3:YESU KRISTU MWANAE WA PEKEE BWANA WETU ALIYETUNGWA KWA ROHO MTAKATIFU AKAZALIWA NA BIKIRA MARIA

        1.4:AKATESWA KWA MAMLAKA YA PONSIO PILATO AKATESWA AKAFA AKAZIKWA AKASHUKIA KUZIMU SIKU YA TATU AKAFUFUKA KATIKA WAFU

        1.5:AKAPAA MBINGUNI AMEKAA KUUME KWA MUNGU BABA MWENYEZI

        1.6:TOKA HUKO ATAKUJA KUWAHUKUMU WAZIMA NA WAFU

        1.7:NASADIKI KWA ROHO MTAKATIFU

        1.8:KANISA TAKATIFU KATOLIKI

        1.9:USHIRIKA WA WATAKATIFU

        1.10:MAONDOLEO YA DHAMBI

        1.11:UFUFUKO WA MIILI NA UZIMA WA MILELE

2:SEHEMU YA PILI:SAKRAMENTI

-Sehemu hii inatoa majibu ya maswali kuhusu Liturujia,Neema,Visakramenti,Sakramenti

umuhimu wa Sakramenti,nani na wakati gani anatakiwa kupokea Sakramenti husika。 Sehemu hii pia imegawanyika katika vipengele kama ifuatavyo:

        2.0:LITURJIA

        2.1:NEEMA

        2.2:SAKRAMENTI

        2.3:VISAKRAMENTI

        2:4:莎拉

3:SEHEMU YA TATU:AMRI

Sehemu hii ya Tatu inahusisha uchambuzi wa Amri zote za Mungu na za kanisa,pia imejikita katika kutoa majibu kuhusu masuala ya fadhila,aina za fadhila,dhambi aina za dhambi,vishawishi na asili zake,

na pia majibu kuhusu dhamiri。 Nayo imegawanyika katika sehemu zifuatazo。

3.0:AMRI KUU

       3.1:AMRI KUMI ZA MNGU

       3.2:AMRI ZA KANISA

       3.3:FADHILA

       3.4:DHAMIRI

       3.5:DHAMBI

       3.6:VISHAVISHI

4:SEHEMU YA NNE:SALA MUHIMU

Sehemu hii ya nne imegawanyika katika vipengele saba ambavyo vinahusisha zaidi aina mbalimbali za sala kwa wakatoliki ambao ni msingi wa maisha na shughuli zao za kila siku,

 namna ya kusali,wakati wa kusali ikiwa na lengo la kukufanya umshirikishe Mungu na kuwa karibu naye kwa kila jambo ufanyalo kwa siku nzima。

        4.0:SALA ZA ASUBUHI

        4.1:SALA YA JIONI

        4.2:SALA KABLA YA MAFUNDISHO

        4.3:SALA WAKATI WA KUUNGAMA

        4.4:SALA ZA JIONI

        4.5:SALA ZA KOMUNYIO

        4.6:SALA KWA BIKIRA MARIA

最新版本1.0更新日志

Last updated on 2018年11月13日

Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki, App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki , Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998.
Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki ,
zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:

翻译中...

更多应用信息

最新版本

请求 Katekisimu Ndogo 更新 1.0

上传者

عبيدة القج

系统要求

Android 4.0.3+

Available on

Katekisimu Ndogo 来源 Google Play

更多

Katekisimu Ndogo 屏幕截图

评论载入中...
语言
语言
搜索中...
订阅APKPure
第一时间获取热门安卓游戏应用的首发体验,最新资讯和玩法教程。
不,谢谢
订阅
订阅成功!
您已订阅APKPure。
订阅APKPure
第一时间获取热门安卓游戏应用的首发体验,最新资讯和玩法教程。
不,谢谢
订阅
成功!
您已订阅我们的邮件通知。